Lugha za Kihmong-Mien

Lugha za Kihmong-Mien ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika Asia ya Kusini-Mashariki, hasa nchini Uchina, Vietnam na Laos. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni 20 takriban. Zamani lugha za Kihmong-Mien zilifikiriwa kuwa tawi la lugha za Kisino-Tibeti lakini siku hizi zinaaminiwa kuwa familia tofauti yenyewe.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kihmong-Mien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.