Kibibbulman
Kibibbulman ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabibbulman katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibibbulman ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibibbulman kiko katika kundi la Kinyungiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibibbulman kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibibbulman Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibibbulman katika Glottolog
- lugha ya Kibibbulman katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibibbulman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |