Kibidayuh-Tringgus-Sembaan

Kibidayuh ya Tringgus-Sembaan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabidayuh. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitringgus-Sembaan imehesabiwa kuwa watu 850 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitringgus-Sembaan iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibidayuh-Tringgus-Sembaan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.