Kibilua ni lugha ya Kisolomon-Katikati nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wabilua kwenye kisiwa cha Vella Lavella. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibilua imehesabiwa kuwa watu 8740.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibilua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.