Kibirifor-Kusini
Kibirifor-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wabirifor. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibirifor-Kusini nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji zaidi ya 4000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirifor-Kusini iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibirifor-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibirifor-Kusini Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibirifor-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/biv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibirifor-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |