Kibirwa ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wabirwa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibirwa iko katika kundi la S30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibirwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.