Kiblablanga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wablablanga kwenye kisiwa cha Santa Isabel. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiblablanga imehesabiwa kuwa watu 1770. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiblablanga iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiblablanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.