Kiblang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini China, Myanmar na Uthai inayozungumzwa na Wablang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiblang nchini China imehesabiwa kuwa watu 42,000. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Myanmar (1994) na 1200 nchini Uthai (1998). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiblang iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiblang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.