Kiboano
Kiboano ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waboano kwenye kisiwa cha Sulawesi. Isichanganywe na Kiboano ya Maluku; ni lugha tofauti. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiboano imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboano iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiboano kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiboano Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiboano katika Glottolog
- lugha ya Kiboano kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiboano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |