Kibodo (pia Kimeche) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wabodo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibodo nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 1,330,000. Pia kuna wasemaji 4380 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibodo iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibodo (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.