Kibolango ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabolango na Waatinggola kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kibolango imehesabiwa kuwa watu 23,000, yaani Waatinggola 16,000 na Wabolango 7,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibolango iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibolango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.