Kiboma ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waboma. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiboma imehesabiwa kuwa watu 20,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiboma iko katika kundi la B80.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.