Kibon-Gula ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wagula. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kibon-Gula imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibon-Gula iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibon-Gula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.