Kibonerate ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabonerate kwenye visiwa vya Bonerate, Madu, Kalaotoa na Karompa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibonerate imehesabiwa kuwa watu 9500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibonerate iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibonerate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.