Kibonkeng ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabonkeng. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibonkeng imehesabiwa kuwa watu 2980. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibonkeng iko katika kundi la A10.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibonkeng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.