Kibonyezo cha kudhibiti


Katika utarakilishi, Kibonyezo cha kudhibiti au kibonyezo kudhibiti (kwa Kiingereza: control key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ibadili shughuli ya vibonyezo vingine (kwa mfano kudhibiti+C ili tarakilishi inakili nakala).

Kibonyezo cha kudhibiti (kushoto).

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.