Kibonyezo cha kuhama

Katika utarakilishi, kibonyezo cha kuhama au kibonyezo kuhama (kwa Kiingereza: shift key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili kubadili herufi ndogo kuwa herufi kubwa kinapobonyezwa.

Kibonyezo cha kuhama.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.