Kibua ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wabua. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibua imehesabiwa kuwa watu 7710. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibua iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.