Kibubi
Kibubi ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wabubi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kibubi imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibubi iko katika kundi la B30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibubi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibubi Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibubi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/buw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibubi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |