Kibubia ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabubia. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kibubia imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibubia iko katika kundi la A20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibubia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.