Kibudong-Budong
Kibudong-Budong (pia Kitangkou) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabudong-Budong kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibudong-Budong imehesabiwa kuwa watu 70 tu. Kwa vile watoto hawajifunzi lugha, Kibudong-Budong imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibudong-Budong iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibudong-Budong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibudong-Budong Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibudong-Budong katika Glottolog
- lugha ya Kibudong-Budong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibudong-Budong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |