Kibuli (Indonesia)

Kibuli ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabuli kwenye kisiwa cha Halmahera. Isichanganywe na lugha nyingine ya Kibuli izungumzwayo nchini Ghana. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibuli imehesabiwa kuwa watu 2520. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuli iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuli (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.