Kibullom-So ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Wabullom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibullom-So nchini Sierra Leone imehesabiwa kuwa watu 8350. Pia kuna wasemaji wachache nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibullom-So kiko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibullom-So kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.