Kibung ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun. Mwaka wa 1995 kulikuwepo wasemaji watatu wa Kibung tu. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa kwa sasa, Wabung wakitumia lugha za Kifulfulde na Kikwanja badala ya lugha yao. Uainishaji wa lugha hiyo ndani ya lugha za Kiniger-Kongo haujatafitiwa; labda iko ndani ya kundi la Kimambiloidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.