Kibunganditj ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabunganditj mpakani katikati za majimbo za South Australia na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibunganditj ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibunganditj kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibunganditj kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.