Kibunu cha Younuo ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wabunu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibunu ya Younuo iko katika kundi la Kibunu.

Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibunu ya Younuo ilihesabiwa kuwa watu 9720.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibunu cha Younuo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.