Kiburate ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waburate. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiburate imehesabiwa kuwa watu 100, na wasemaji wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiburate iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.