Kiburduna
Kiburduna ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waburduna katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiburduna ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburduna kiko katika kundi la Kikanyara.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiburduna kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburduna Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiburduna katika Glottolog
- lugha ya Kiburduna katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburduna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |