Kiburmeso ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waburmeso. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiburmeso imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiburmeso haihusiani na lugha nyingine; wataalamu wengine lakini huiangalia kama ndani ya kundi la Kisentani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburmeso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.