Kiburumakok ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waburumakok. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiburumakok imehesabiwa kuwa watu 40 tu, yaani inawezekana kuwa lugha imeshatoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburumakok iko katika kundi la Kiok.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburumakok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.