Kiburushaski ni lugha ya asili nchini Pakistan inayozungumzwa na Waburushaski. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiburushaski imehesabiwa kuwa watu 96,800. Kuna lahaja tatu: Kihunza, Kinagar na Kiyasin. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiburushaski ni cha pekee, yaani haihusiani na lugha nyingine.

maeneo ya Kiburushaski na lahaja zake

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburushaski kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.