Kibusami ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabusami kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibusami imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibusami iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibusami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.