Kibuso ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wabuso. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kibuso imehesabiwa kuwa watu 40 tu. Kwa hiyo inawezekana kuwa lugha imeshatoweka kabisa hadi sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuso iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.