Kibusuu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun. Mwaka wa 1986 kulikuwepo wasemaji wanane wa Kibusuu tu. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa kwa sasa, Wabusuu wengine wakitumia lugha ya Kijukun badala ya lugha yao. Uainishaji wa lugha hiyo ndani ya lugha za Kiniger-Kongo haujatafitiwa; labda iko ndani ya kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibusuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.