Kibuwal
(Elekezwa kutoka Kibuwal (lugha))
Kibuwal ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabuwal. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibuwal imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuwal iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibuwal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibuwal Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibuwal katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibuwal
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibuwal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |