Kibwamu-Laalaa
Kibwamu-Laalaa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wabuamu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibwamu-Laalaa imehesabiwa kuwa watu 69,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibwamu-Laala iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibuamu-Laalaa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibuamu-Laalaa Archived 7 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibuamu-Laalaa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bwj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibwamu-Laalaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |