Kibwela
Kibwela ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabwela. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibwela imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibwela iko katika kundi la C50.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibwela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibwela Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibwela katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bwl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibwela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |