Kibwile
Kibwile ni lugha ya Kibantu nchini Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabwile. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibwile imehesabiwa kuwa watu 24,800, takriban nusu katika kila nchi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibwile iko katika kundi la L10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibwile kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibwile Archived 31 Oktoba 2013 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibwile katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bwc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibwile kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |