Kibwisi (Gabon)
Kibwisi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wabwisi. Isichanganywe na Kitalinga-Bwisi cha Uganda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibwisi imehesabiwa kuwa watu 3020 nchini Kongo na watu 1230 nchini Gabon. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibwisi iko katika kundi la B40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibwisi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibwisi Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibwisi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bwz
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibwisi (Gabon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |