Kibyangsi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wabyangsi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibyangsi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 2830. Pia kuna wasemaji 480 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibyangsi iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibyangsi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.