Kibyep
Kibyep ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabyep. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kibyep imehesabiwa kuwa watu 9500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibyep iko katika kundi la A80.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibyep kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibyep Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibyep katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mkk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibyep kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |