Kicaka
Kicaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wacaka. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kicaka imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicaka iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kicaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicaka Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kicaka katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kicaka
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |