Kicampalagian
Kicampalagian (pia Kitasing) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wacampalagian kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kicampalagian imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicampalagian iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kicampalagian kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicampalagian Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kicampalagian katika Glottolog
- lugha ya Kicampalagian kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicampalagian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |