Kicemuhi
Kicemuhi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wacemuhi. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kicemuhi imehesabiwa kuwa watu 2600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicemuhi iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kicemuhi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicemuhi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kicemuhi katika Glottolog
- lugha ya Kicemuhi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicemuhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |