Kichaa (kwa Kiingereza: "insanity" [1]) ni wigo wa tabia fulani isiyo ya kawaida inayoambatana na matatizo ya akili.

Alama inayotambulisha kichaa.

Kichaa ni ugonjwa unaowapata sana binadamu na wanyama, kwa mfano kichaa cha mbwa[2].

Kati ya sababu za ugonjwa huo kuna matumizi ya madawa ya kulevya na malaria kali iliyopanda kichwani.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichaa kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.