Kichamling ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wachamling. Mwaka wa 2011, idadi ya wasemaji wa Kichamling nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 5400. Idadi ya wasemaji nchini Uhindi haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichamling iko katika kundi la Kikiranti.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichamling kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.