Kichenchu
Kichenchu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachenchu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kichenchu imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichenchu iko katika kundi la Kitelugu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichenchu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichenchu Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kichenchu katika Glottolog
- lugha ya Kichenchu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichenchu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |