Kichilisso ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wachilisso. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kichilisso imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichilisso iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichilisso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.