Kichin-Bawm
Kichin ya Bawm (au Kibawm) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bangladesh, Uhindi na Myanmar inayozungumzwa na Wachin. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Bawm nchini Bangladesh imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 4400 nchini Uhindi (2004) na wasemaji 1500 nchini Myanmar (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Bawm iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichin ya Bawm kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichin ya Bawm Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichin ya Bawm katika Glottolog
- lugha ya Kichin ya Bawm kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Bawm kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |