Kichin ya Haka (pia Kihaka) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wachin. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Haka nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Haka iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Haka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.